Support My Campaign
Tata Mumbai Marathon 2024
About Me
https://youtu.be/lLWbRyWLxcQ
*_Wadau wadau wadau wangu...imetoka tebu gusa hiyo link hapo hiyo juu ya ☝ ucheki vile kulienda vituko mtaani utacheka na utapenda😂😂😂😘. Nikikuonjesha mosese na sasita wakula kichapo juu ya kukojoa kwa maukuta za getto😂😂alafu afande victor apatana na mchawi pale getto akiangaika juu sai sio police alivutwa kazi😂😂😂😂😂😂waah alafu alafu warembo watembeza ka war kwa nyumba y Dante ju ya dante kuwacheza😹😹😹😹 chheeiiiii🤭. Hiyo tu ni kionjo👌🏾cheki ujionee😅alafu type hyo like, comment na subscription😎_*